Sisi Ni Nani?
Inland Press ni kiwanda cha uchapaji wa vitabu cha kanisa la Africa Inland Church Tanzania (AICT), niwachapaji wazoefu wa Maandiko ya Kikristo zaidi...
Bei Zetu
Bei zetu ni nafuu sana, na kuna punguzo la asimia 2% ya malipo kama utalipa ndani ya siku 28. Pia jinsi utakavyo chapa nakala nyingi zaidi bei ya kila nakala itapungua zaidi..
Mahali Tulipo
Kiwanda kipo kilometa sita kutoka Mwanza mjini kati (centre), eneo la Bwiru, jirani na Bwiru Boys secondary school.
Kufanya Kazi Kwa Ubora ni Lengo Letu Kuu.
Kazi Tuanazofanya
Sisi tunatoa huduma mbalimbali
MASHINE ZETU
Tunazo mshine nne za kuchapa uwezo na size tofauti kama ifuatavyo:-
SORD
Maximum sheets size 64x91.5cm.
SORM
Maximum sheets size 52x74cm
KORD
Maximum sheets size 45x.7x64.1cm
GESTO
Maximum sheets size 32.4x43.2